Mama Muna Ampeleka Muna Polisi - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mama Muna Ampeleka Muna Polisi

Mama wa msanii ambae kwa sasa amekuwa akitangaza na kuonekana kuwa ameokoka amekwenda kuchukua jukumu la kumpeleka mtoto wake mahakamani hasa baada ya Muna kumtukana mama huyo katika mitandao ya kijamii lakini kubwa zaidi ni kumkana na kusema kuwa yeye sio mama yake mzazi.


Mama huyo ambae alisimama kwa vyombo vya habari na kuthibitsha taarifa za kuwa Muna alitelekeza mtoto ameamua kufanya uamuzi huo baada ya kuona mtoto wake akimtangazia vibaya katika mitandao ya kijamii wakati mama huyo alionekana hata katika msiba wa mtoto wa Muna .


Imeripotiwa na watu wa karibu kama wWema sepetu kuwa Muna amekuwa hana heshima kwa mama yake huyo na mara nyingi wamekuwa wakigombana  hata marehemu Patrick kuingilia kati ugomv huo na kuwapatanisha.


Awali mama huyo alitrakiwa kuripoti kituoni kwa kosa la kumtangazai habri mbaya za kutelekeza mtoto lakini baada ya hapo na yeye aliamua kumfungulia kesi ya kudhalisha na kumtuka  na kumkana mama huyo.


The post Mama Muna Ampeleka Muna Polisi appeared first ... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More