MAMA WADONGO WILAYA YA KALIUA WAPEWA ELIMU YA STADI ZA KUJITAMBUA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAMA WADONGO WILAYA YA KALIUA WAPEWA ELIMU YA STADI ZA KUJITAMBUA

Mkuu wa Wilaya ya Kaliua Mkoani Tabora, Mhe. Abel Busalama, akifungua mafunzo kwa Mama wadogo (Young Mothers) ya kujitambua, malezi ya familia, Afya na lishe, Kilimo biashara, Ujasiriamali, kuunda vikundi vya uzalishaji mali na kuwaunganisha kwenye fursa za uwezeshaji wa vijana kiuchumi. (Kushoto) ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Maendeleo ya Vijana Bw. Julius Tweneshe.Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Maendeleo ya Vijana Bw. Julius Tweneshe akielezea jambo kwa Mama wadogo (Young Mothers) kuhusu Programu hiyo ya Kitaifa inayolenga kuwawezesha mama wadogo kupata mbinu na stadi za kujitambua, uthubutu, kufanya maamuzi sahihi na kujiwekea malengo katika maisha yao.Afisa Maendeleo ya Vijana kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Bi. Dorah Meena akiwasilisha mada kuhusu kujitambua kwa Mama wadogo (Young Mothers) walioshiriki mafunzo hayo ukumbi wa Mt. John Paul II, uliopo Wilaya ya Kaliua.Mwezeshaji kutoka Benki ya NMB, akitoa mada kuhusu Mikopo na Akaunti za kibenki zinazotole... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More