Mamake Diamond Sandra amtambua Daylan, mwana wa Hamisa Mobetto kuwa mjukuu wake - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mamake Diamond Sandra amtambua Daylan, mwana wa Hamisa Mobetto kuwa mjukuu wake

Mamake mwanamuziki nyota Afrika mashariki Diamond Platnumz Bi Sandra hatimaye amemtambua mjukuu wake wa tatu aliyezaliwa na mwanamitindo Hamisa Mobetto kutoka Tanzania


Source: BBC SwahiliRead More