Mambo Haya Kumi (10) Usiyojua Kuhusu Fedha Ndiyo Yanakufanya Uendelee Kuwa Masikini. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mambo Haya Kumi (10) Usiyojua Kuhusu Fedha Ndiyo Yanakufanya Uendelee Kuwa Masikini.

Rafiki yangu mpendwa, Tangu tunazaliwa mpaka tunakuwa watu wazima, kuna vitu vingi sana ambavyo tunafundishwa kwenye familia, kwenye jamii, shuleni na hata kwenye kazi au biashara. Tunafundishwa jinsi ya kwenda vizuri na watu wengine, jinsi ya kufanya kazi au biashara zetu na umuhimu wa kufuata sheria mbalimbali. Yote haya yanalenga kutufanya kuwa watu wazuri kwenye... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More