MAMBO KATIKA BANDA LA OFISI YA BUNGE KATIKA MAONESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAMBO KATIKA BANDA LA OFISI YA BUNGE KATIKA MAONESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA

 Afisa wa Ofisi ya Bunge, Ndugu Partson  akimuelezea  Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma Mheshimiwa Profesa Davis Mwamfupe  orodha ya Maspika waliowahi kuongoza Bunge pamoja na Kumbi zilizowahi kutumika kuendesha vikao vya Bunge.Mheshimiwa Mwamfupe alitembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika Maonyesho ya Nanenane yanayoendelea Jijini Dodoma. Afisa wa Ofisi ya Bunge, Ndugu Partson  akimuonyesha  Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma Mheshimiwa Profesa Davis Mwamfupe kitabu cha Viapo vya Waheshimiwa Wabunge cha miaka iliyopita. Mheshimiwa Mwamfupe alitembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika Maonyesho ya Nanenane yanayoendelea Jijini Dodoma. Afisa wa Ofisi ya Bunge, Ndugu Partson  akimuonyesha  Mstahiki  Meya wa Jiji la Dodoma Mheshimiwa Profesa Davis Mwamfupe vazi la Spika pamoja na kumuelezea historia ya vazi hilo. Mheshimiwa Mwamfupe alitembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika Maonyesho ya Nanenane yanayoendelea Jijini Dodoma.Afisa wa Ofisi ya Bunge, Ndugu Omary Machunda akitoa ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More