MAMBO MANNE YALIYOWAPA TORONTO RAPTORS UBINGWA WA NBA 2019 - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAMBO MANNE YALIYOWAPA TORONTO RAPTORS UBINGWA WA NBA 2019


Alfajiri ya leo timu ya Toronto Raptors yenye makazi yake nchini Canada imeshinda mchezo wao wa 4 katika mfululizo wa michezo ya fainali za NBA kwa msimu wa 2018/2019 na kuibuka mabingwa wapya wa ligi hiyo pendwa ya kikapu ulimwenguni.

Ni mara ya kwanza kwa klabu hiyo kuchukua ubingwa/kombe hilo na hakika wameweka historia. Zifuatazo ni point chache zilizochangia kwa kiasi kikubwa kwa Toronto Raptors kuchukua ubingwa huku wakiushangaza Ulimwengu uliokuwa umewapa Warriors Ushindi hata kabla ya fainali kuanza:

1. TEAMWORK:
Pamoja na kutokuwa na mastaa wakubwa wengi kwenye timu yao, Raptors wamekuwa wakicheza kwa umoja sana bila kumtegemea mtu mmoja au wawili. Ukiangalia mechi zao nyingi wanazoshinda, mgawanyo wa pointi zao huwa ni mzuri. Hawapishani sana katika kushambulia na hata kuzuia pia. Wanashambulia wote na wanakaba wote.

Raptors
Wachezaji wa Toronto Raptors wakipongezana katika moja ya michezo yao

Muda wote walionyesha kutaka Ubingwa, na kuionyesha dunia kuwa INAWEZEKANA. Walikuwa wana njaa kub... Continue reading ->

Source: Mwanaharakati MzalendoRead More