Mambo matatu muhimu yatajwa miaka mitano ya M-Pawa - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mambo matatu muhimu yatajwa miaka mitano ya M-Pawa

Benki ya CBA ikishirikiana na kampuni ya Vodacom imefanya droo yake ya 5 ya kuadhimisha miaka 5 ya huduma ya MPawa yenye lengo la kuongeza ushirikishwaji wa kifedha kwa wateja wake kwenye makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es salaam.
Katika kusherehekea maadhimisho hayo, promosheni hiyo inajumuisha droo za kila wiki zilizohusu kuwekeza na kukopa na MPawa huku ukitoa washindi zaidi ya 340 walioibuka na mara mbili ya akiba zao kuanzia kiwango cha Tsh 1000-200,000, simu janja na muda wa maongezi.
Katika kuongelea kuhusu huduma hii ya MPawa, Meneja Masoko wa benki hiyo Bw Solomon Kawiche aligusia mambo 3 muhimu kwenye maadhimisho hayo ya Miaka 5.
M-Pawa inasherehekea miaka 5, ni mafanikio gani yameonekana tangu kuanzishwa kwa huduma hii? Mpawa ilianza na wateja 4 tu ila hadi leo hii imefikisha wateja Mil 8.5 na imefanikiwa kurahisisha Maisha ya wananchi wengi ambao wapo mbali na huduma za kibenki kwa kuwapatia huduma nafuu za kibenki ikiwemo kukopa kiasi kidogo cha hadi 1000 ambacho h... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More