Mambo matatu yaliyoziponza Simba, Yanga kimataifa - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mambo matatu yaliyoziponza Simba, Yanga kimataifa

Timu hizo sita zimeshindwa kupata matokeo mazuri kutokana na ubutu wa safu ya ushambuliaji, kukosekana kwa muunganiko bora wa kitimu pamoja na udhaifu wa safu za ulinzi na kujikuta zikikabiliwa na mlima mrefu wa kupanda katika mechi za marudiano ili ziweze kufuzu hatua inayofuata.


Source: MwanaspotiRead More