Mambo Mawili Muhimu Ya Kujifunza Katika Maisha Yako - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mambo Mawili Muhimu Ya Kujifunza Katika Maisha Yako

Mpendwa rafiki, Hakuna mwalimu mzuri anayetufundisha kama maisha. Kuishi tu ni kujifunza, maisa yetu kama kitabu kadiri unavyosoma kurasa nyingi ndivyo unavyokuwa vizuri na kuelewa mambo. Dunia ina kila kitu ambacho tunahitaji shida ni tunavipataje hivyo vitu. Kila mtu anajua ukitaka kufanikiwa unatakiwa kufanya nini na tunawaona hata wenzetu waliofanikiwa sasa kwanini tunashindwa kufanana kama... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More