Mambo Ya Kufanya Ili Kurudiana na Mpenzi Mliyeachana - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mambo Ya Kufanya Ili Kurudiana na Mpenzi Mliyeachana

Watu wengi wanaachana na wapenzi wao kwa sababu mbali mbali lakini unafanya Nini pale unapoachana naye halafu ukaja kugundua kuwa bado unampenda? Jibu ni rahisi ni kumrudisha tu kwa njia yoyote.


Watu hawajui kumrudisha mpenzi mlioachana ni jambo rahisi sana kwa njia chache tu nitakazokufundisha leo basi unaweza ukamrudisha mpenzi aliyekuacha au uliyeachana naye.


Siku ya leo nitakufundisha njia kadhaa za kumrudisha mpenzi mliyeachana na kumtuliza mara baada ya kurudiana naye maana hiyo ndiyo kazi ngumu.


Fuata Njia hizi ili Kumrudisha Ex wako Kwenye maisha yako:


1. Kata Njia Zote Za Mawasiliano Naye


ILi kumrudisha mpenzi wako Kwanza anatakiwa ajue ni kwa kiasi gani anakumiss na njia pekee ya kufanya hivyo ni kukata mawasiliano naye hii itasaidia kumpa muda wa kufikiria ni umuhimu gani unao Kwenye maisha yake.


2. Jaribu Kuwa Bize na Mambo Yako


Muda wowote Mahusiano yakiisha kila mmoja anataka kujua ex wake anafanya nini na kama anaendelea na maisha hivyo ni muhimu kujikita katika mambo ya... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More