Mambo Ya Kufanya Ili Kuzuia Marafiki Kuingilia Mapenzi Yenu - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mambo Ya Kufanya Ili Kuzuia Marafiki Kuingilia Mapenzi Yenu

Kwenye mapenzi ni vizuri kwa kila mmoja kuwa na marafiki nje ya Mahusiano hii itasaidia kupeana nafasi na kila mtu kupata muda wa kufanya mambo yake bila kufuatana fuatana na kubanana muda wote.


Hata hivyo kuna wakati  marafiki wanaweza kuwa ‘sumu’ ya mahusiano yako, hasa pale unapowategemea sana kutoa msaada, maoni au maelekezo katika maisha yako ya mapenzi.


Makala hii inaeleza mambo ya msingi unayoweza kufanya ili kupunguza uwezekano wa rafiki, ndugu, jamaa, au wazazi kuwa ‘sumu’ ya mapenzi yako.


1. Udhibiti wa taarifa kwa wengine 

Kadri unavyoelezea mahusiano yako kwa watu wengine ndivyo unavyowapa nafasi watu kutoa maoni, na hata kudhani kuwa wana dhamana ya kukuelekeza unavyotakiwa kuishi na mwenza wako. Hivyo basi, chukua muda wa kutosha kutafakari na kufanya uchunguzi kuhusu maswala yako ya mahusiano kabla haujaanza kutafuta maoni, ushauri kwa watu wengine. Ni bora ukasoma vitabu, na makala mbalimbali, hususani zihusuzo tabia na maisha ya mahusiano, zitafakari vema il... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More