MAMBO YA WACHEZAJI WA YANGA AMBAYO YANAMKERA KOCHA MWINYI ZAHERA ILE MBAYA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAMBO YA WACHEZAJI WA YANGA AMBAYO YANAMKERA KOCHA MWINYI ZAHERA ILE MBAYA

Na Lulu Ringo, DAR ES SALAAM
LICHA ya kikosi cha Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Coastal Union na kuchukua pointi tatu kisha kukaa kileleni mwa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara, kocha wa timu hiyo, Mwinyi Zahera ameonekana kutoridhishwa na kiwango cha wachezaji wake.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Zahera amesema wachezaji wake wamekuwa na makosa mengi sana ya wazi yanayosababisha timu hiyo kutoka na ushindi mwembamba uwanjani.
“Wachezaji hawabadiliki angalia mchezo dhidi ya Algeria (USM Alger), mechi dhidi ya Mtibwa (Sugar), dhidi ya Stand (United) na hii,  tumekuwa na ushindi wa mabao 2-0, 2-1, 4-3,”.
“Tatizo la wachezaji wangu hawana umakini tunapata goli tunakuwa kama watoto, wachezaji wanafanya vitu vya hovyo mwangalie  Makambo  (Heritier), mshambuliaji unapewa mpira unarudisha nyuma,” alisema Zahera.

Kocha wa Yanga SC, Mwinyi Zahera (katikati) haridhishwi na kiwango cha wachezaji wake

Hata hivyo, Zahera amemsifu kiungo Ibrahim Ajib kwamba kwa sasa amekuwa ana msaad... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More