Mambo yameiva Buyungu - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mambo yameiva Buyungu

WAKAZI wa Jimbo la Buyungu lililoko Wilayani Kankonko mkoa wa Kigoma, wamejitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Wakazi hao wamejitokeza leo tarehe 12 Agosti, 2018 kumchagua mbunge wa jimbo hilo lililoachwa wazi kufuatia kifo cha Mwalimu Kasuku Bilago aliyekuwa mbunge wa Buyungu. Wananchi hao walijitokeza kuanzia majira ya ...


Source: MwanahalisiRead More