Mambo yatakayofanywa na SADC chini ya Rais Magufuli - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mambo yatakayofanywa na SADC chini ya Rais Magufuli

JANA tarehe 18 Agosti 2019 Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi 16 mwanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ulifungwa rasmi, huku wajumbe walioshiriki mkutano huo wakipitisha maazimio kadhaa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mkutano wa 39 wa SADC ulifanyika kwa siku mbili kuanzia tarehe 17 hadi 18 Agosti mwaka huu, katika ...


Source: MwanahalisiRead More