Mambosasa: Tumejiandaa kuwashughulikia ipasavyo Ukonga - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mambosasa: Tumejiandaa kuwashughulikia ipasavyo Ukonga

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema litawashughulikia kisheria wale wote wenye lengo la kufanya vurugu siku ya uchaguzi mdogo wa Ubunge utakaofanyika tarehe 16 Septemba 2018 katika Jimbo la Ukonga na udiwani katika Kata ya Vingunguti. Anaripoti Khalifa Abdallah … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ...


Source: MwanahalisiRead More