MAMILIONI YA WATAZANIA WALIOKOSA MATUMAINI YA KUPONA MAGONJWA MBALIMBALI,SASA KUPATA TUMAINI JIPYA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAMILIONI YA WATAZANIA WALIOKOSA MATUMAINI YA KUPONA MAGONJWA MBALIMBALI,SASA KUPATA TUMAINI JIPYA


Picha ya pamoja.
Mwenyekiti wa IPP Dkt.Reginald Mengi akizungumza na wadau mbalimbali katika mkutano wa kimataifa wa wataalamu wa tiba za magonjwa ya binadamu uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akizungumza katika mkutano wa kimataifa wa wataalamu wa tiba za magonjwa ya binadamu uliofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile (kushoto) akiteta jambo na Mwenyekiti wa IPP Dkt.Reginald Mengi jana jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akisalimiana na wadau mbalimbali  katika mkutano wa kimataifa wa wataalamu wa tiba za magonjwa ya binadamu uliofanyika jana jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka,MMG)

  


MAMILIONI ya watu waliokosa matumaini ya kupona magonjwa mbalimbali hapa nchini, ambayo yaliaminika kuwa hay... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More