Mamilioni yavunwa mbio za baiskeli - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mamilioni yavunwa mbio za baiskeli

Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Joseph Kakunda amezindua mashindano ya mbio za baiskeli na kukusanya Sh280milioni kati ya Sh340 milioni zinazotarajiwa kukusanywa kwa ajili ya kuboresha sekta ya elimu nchini.


Source: MwanaspotiRead More