MAMLAKA YA NGORONGORO YAKABIDHI SH.BILIONI MOJA KWA AJILI YA UJENZI WA HOSPITALI,VITUO VYA AFYA KARATU - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAMLAKA YA NGORONGORO YAKABIDHI SH.BILIONI MOJA KWA AJILI YA UJENZI WA HOSPITALI,VITUO VYA AFYA KARATU

  Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), Professa Abiud Kaswamila akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo mfano wa hundi ya Sh milioni 500,000 kwa ajili ya ujenzi wa vituo vya Afya Samunge na Arash wilayani humo zilizotolewa na NCAA kama sehemu ya mchango wa shughuli za maendeleo. Viongozi wa wilaya ya Ngorongoro na Karatu mkoani Arusha wakiwa wameshika hundi za mfano wa fedha zilizotolewa na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro Sh Bilioni 1 walizokabidhiwa kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya wilaya ya Karatu na vituo viwili vya afya wilayani Ngorongoro.  Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro Rashid Taka mfano wa hundi ya Sh milioni 500 zilizotolewa na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kwa ajili ya ujenzi wa vituo viwili vya afya katika Kijiji cha Samunge na Arash wilayani humo. Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Karatu Theresia Mahongo mfano wa hundi ya Sh milioni 500 zilizot... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More