Man City ya Guardiola NI ubingwa wa Ulaya tu - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Man City ya Guardiola NI ubingwa wa Ulaya tu

Kuna mjadala umeibuka tangu walipobeba Ligi Kuu England kwa msimu wa pili mfululizo, wakikusanya pointi 198 kwenye misimu hiyo miwili, kitamkwe kwamba kikosi hicho cha Guardiola ni moja ya timu bora kabisa duniani.


Source: MwanaspotiRead More