MAN CITY YAIGONGA SPURS 1-0 NA KURUDI KILELENI LIGI KUU ENGLAND - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAN CITY YAIGONGA SPURS 1-0 NA KURUDI KILELENI LIGI KUU ENGLAND

Phil Foden akiifungia bao pekee Manchester City dakika ya tano tu ikiilaza Tottenham Hotspur 1-0 leo Uwanja wa Etihad katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Ushindi huo unaifanya Man City ifikishe pointi 86 baada ya kucheza mechi 34 na kurejea kileleni, sasa ikiizidi pointi mbili Liverpool inayofuatia nafasi ya pili, mbele ya Tottenham yenye pointi 67 za mechi 34 pia Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More