MAN CITY YAIPIGA EVERTON 2-0 NA KUREJEA KILELENI ENGLAND - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAN CITY YAIPIGA EVERTON 2-0 NA KUREJEA KILELENI ENGLAND

Mshambuliaji Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Manchester City dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji Everton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Goodison Park kufuatia Aymeric Laporte kufunga la kwanza dakika ya 45 na ushei. 
Kwa ushindi huo, Manchester Citybinafikisha pointi 62 baada ya kucheza mechi 26, ikirejea kileleni mwa Ligi Kuu kwa wastani wa mabao tu,m kwani inalingana kwa pointi na Liverpool iliyocheza mechi 25 Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More