MAN CITY YATINGA ROBO FAINALI ULAYA KWA USHINDI WA KISHINDO - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAN CITY YATINGA ROBO FAINALI ULAYA KWA USHINDI WA KISHINDO

Mshambauliaji wa Manchester City, Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia timu yake mabao mawili dakika ya 35 kwa penalti na 38 katika ushindi wa 7-0 dhidi ya Schake 04 kwenye mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Etihad mjini Manchester. Mabao mengine yamefungwa na Leroy Sane dakika ya 42, Raheem Sterling dakika ya 56, Bernardo Silva dakika ya 71, P. Foden dakika ya 78 na Gabriel Jesus dakika ya 84 na kwa matokeo hayo Man City inatinga robo fainali kwa ushindi wa jumla wa 10-2 baada ya awali kushinda 3-2 ugenini Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More