Man City yaweka rekodi ya pato kubwa kwa mara ya kwanza katika historia yao. - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Man City yaweka rekodi ya pato kubwa kwa mara ya kwanza katika historia yao.

Mabingwa wa ligi kuu Uingereza Manchester City wamewasilisha mapato yao ya msimu uliopita ambapo yanafikia £500.5 millioni sawa na dola ($652 millioni) kwa msimu wa 2017/18. Klabu hiyo pia imefanikiwa kupunguza idadi kubwa ya mishahara kwa wachezaji wake.


English champions wanavyojiita wenyewe, Manchester City chini ya utawala Pep Guardiola waliweka rekodi ya kufikisha alama 100 na kutwaa ubingwa huo.Vipi kuhusu faida waliyopata?


City wamepata faida ya £10.4milioni, kwa mwaka wa 4 mfululizo lakini kubwa zaidi mishahara ya wachezaji imepungua hadi kufikia asilimia 52. Mwanzono klabu ya Man city ilikuwa inalipa wachezaji miashara minono sana lakini ujio wa Pep umepunguza mishahara hiyo.


Mabosi wanasemaje?


“Bado hatujafikia malengo yetu, tuna mengi ya kutimiza,” Alisema mwenyekiti wa klabu hiyo Shekh Khaldoon Al Mubarak.Mubarak hivi majuzi alikuwa akisheherekea miaka 10 tokea familia hiyo ya Abu Dhabi kichukua mikoba ya kuiendesha klabu hiyo.


.”Bila shaka tuna mitazamo ya mbele... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More