Man United, Cazorla na baadhi ya nyota wa soka watuma salamu za pole kwa Danny Welbeck - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Man United, Cazorla na baadhi ya nyota wa soka watuma salamu za pole kwa Danny Welbeck

Kiungo wa klabu ya Villarreal inayoshiriki La Liga, Santi Cazorla ametuma salamu za pole kwa Danny Welbeck baada ya kupata majeraha wakati akiitumikia Arsenal hapo jana kwenye mchezo wao wa Europa league dhidi ya Sporting Lisbon uliyomalizika kwa sare ya 0 – 0.Cazorla ambaye amewahi kucheza timu moja na Danny Welbeck akiwa Arsenal amewaongoza baadhi ya nyota wengine kwenye mitandao ya kijamii kumtaka apone haraka majeraha hayo aliyopata.Kwenye posti hiyo, Cazorla amesema ”Nakutaka uimarike haraka rafiki yangu, hili ni tukio baya zaidi katika soka lakini naamini upo imara na utarejea hivi punde.”


Danny Welbeck suffered a suspected broken ankle against Sporting Libson in Europa League


Wishing @DannyWelbeck a full recovery from his injury. #MUFC https://t.co/eONjpEEiSI


— Manchester United (@ManUtd) November 9, 2018The striker was carried from the pitch on a stretcher after being given an oxygen maskThe post Man United, Cazorla na baadhi ya nyota wa soka watuma salamu za pole kwa Danny Welbeck appeared first on Bongo5.com.

... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More