MAN UNITED HOI ENGLAND, YATANDIKWA 3-2 NA BRIGHTON - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAN UNITED HOI ENGLAND, YATANDIKWA 3-2 NA BRIGHTON

Glenn Murray akiifungia bao la kwanza Brighton & Hove Albion dakika ya 35 ikishinda 3-2 dhidi ya Manchester United leo Uwanja wa AMEX katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Brighton yamefungwa na Shane Duffy dakika ya 27 na Pascal Gross dakika ya 44, wakati ya Man United yamefungwa na Romelu Lukaku dakika ya 34 na Paul Pogba kwa penalti dakika ya 90 na ushei Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More