MAN UNITED WALAZIMISHWA SARE 1-1 OLD TRAFFORD NA WOLVES - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAN UNITED WALAZIMISHWA SARE 1-1 OLD TRAFFORD NA WOLVES

Wachezaji wa Manchester United wakirejea katikati kinyonge baada ya Wolves kusawazisha bao katika sare ya 1-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford leo. United walitangulia kwa bao la mchezaji wake mpya, kiungo Frederico Rodrigues Santos 'Fred' dakika ya 18 akimalizia pasi ya Mfaransa Paul Pogba, kabla ya Joao Moutinho kuisawazishia Wolverhampton dakika ya 53 akimalizia pasi ya mshambuliaji Mmexico, Raul Jimenez katika mchezo uliohudhuriwa na kocha wa zamani wa Mashetani Wekundu, Sir Alex Ferguson kwa mara ya kwanza tangu aripotiwe kuugua Mei mwaka huu ... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More