MAN UNITED YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI UGENINI ENGLAND - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAN UNITED YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI UGENINI ENGLAND

Chris Smalling akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Manchester United dakika ya 38 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Watford leo Uwanja wa Vicarage Road kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao la kwanza la United lilifungwa na Romelu Lukaku dakika ya 35 wakati la Watford limefungwa na Andre Gray dakika ya 65 Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More