Manara Jumamosi ‘DO or DIE’ - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Manara Jumamosi ‘DO or DIE’

KUELEKEA mchezo wa klabu bingwa barani Afrika dhidi AS Vital kutoka nchini Congo, msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amewataka mashabiki wa klabu hiyo kujitokeza kwa wingi siku hiyo ili kuweza kutoa hamasa kutokana na umuhimu wa mchezo huo. Anaripoti Faki Sosi. Mchezo huo wa kundi D utachezwa siku ya juma mosi, 16 machi ...


Source: MwanahalisiRead More