Manara: Simba tumeshtushwa, Wanasimba tulieni - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Manara: Simba tumeshtushwa, Wanasimba tulieni

Afisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema taarifa za kutekwa kwa mfanyabiashara na mmiliki wa Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’ zimewashtua, lakini bado wanaamini jeshi la polisi litafanya kazi yake.


Source: MwanaspotiRead More