Manchester City yakosolewa kwa kuwakejeli mashabiki wa Liverpool - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Manchester City yakosolewa kwa kuwakejeli mashabiki wa Liverpool

Manchester City wamekosolewa juu ya video iliyoonyesha wachezaji na wahudumu wa timu hiyo wakiungana katika kuimba wimbo wa kusherehekea mashabiki wa Liverpool "wakichapwa mtaani ".


Source: BBC SwahiliRead More