MANE AFUNGA MABAO MAWILI LIVERPOOL YAIPIGA 4-0 WHU - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MANE AFUNGA MABAO MAWILI LIVERPOOL YAIPIGA 4-0 WHU

Mshambuliaji Sadio Mane akipongezwa na wenzake, Roberto Firmino (kushoto) na Naby Keita (kulia) baada ya kuifungia mabao mawili Liverpool dakika za 45 na ushei na 53 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya West Ham United kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Mohamed Salah dakika ya 19 na Daniel Sturridge dakika ya 88 Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More