MANE AFUNGA MAWILI LIVERPOOL YAMALIZA NA USHINDI WA 2-0 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MANE AFUNGA MAWILI LIVERPOOL YAMALIZA NA USHINDI WA 2-0

Mshambuliaji wa kimataifa wa Senegal, Sadio Mane akishangilia kwa furaha baada ya kufunga mabao yote mawili dakika za 17 na 81 Liverpool ikishinda 2-0 dhidi ya Wolverhampton Wanderers kwenye mchezo wake wa mwisho wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield na kumaliza nafasi ya pili kwa pointi zake 97, ikizidiwa moja na Manchester City walioibuka mabingwa. Lakini Mane amefanikiwa kumaliza sawa kwa mabao na mshambuliaji mwenzake wa Liverpool, Mmisri Mohamed Salah na Mgabon wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang, 22 kila mmoja    ... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More