Mane akitulia Liverpool itatulia pia - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mane akitulia Liverpool itatulia pia

Msimu uliopita Firmino alifanya kazi kubwa nyuma ya kivuli cha Mo Salah. Msimu Liverpool inaonekana kama imebalansi kiasi fulani.


Walio wengi wanamtizama zaidi Van Djik ambaye anaonekana amesimama imara.


Kwa upande wangu mafanikio ya Liverpool yapo kwenye utimamu wa akili na ufanisi mzuri wa makadirio yame awapo katika eneo la kufanya maamuzi.


☑Mane ana nguvu kuliko Firmino na Salah
☑Mane anakasi kuliko Firmino
☑ Mane anapiga chenga na ni mjanja


Shida ya Mane ni utimamu wa maamuzi. Kama Mane huyu ambaye jina lake limefifia kama ngozi yake kwenye midomo ya wazungu kama atatulia basi Liverpool itakuwa klabu hatarishi zaidi UCL msimu huu.


Mane tokea msimu uliopita amefunga goli katika kila hatua ya klabu bingwa hivyo ana umuhimu mkubwa sana katika kila mechi.


✅ Makundi
✅ 16 bora
✅ Robo fainali
✅ Nusu fainali
✅ Fainali... Continue reading ->
Source: Shaffih DaudaRead More