Maneno ya Mourinho kuelekea mechi ijayo ‘Tunachohitaji zaidi ni pointi kuliko pafomansi’ - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Maneno ya Mourinho kuelekea mechi ijayo ‘Tunachohitaji zaidi ni pointi kuliko pafomansi’

Jose Mourinho anaamini Manchester United imeanza kuimarika na kuwaimara kiakili lakini kwa muda huu kinachohitajika ni point kuliko pafomansi.United imepoteza jumla ya pointi 18 kutoka timu ambayo inaongoza msimamo wa ligi ambayo ni Manchester City baada ya michezo yake minne iliyotoka bila ushindi.


Mourinho alianza Jumamosi iliyopita kwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Southampton kisha kuibuka na droo nyingine ya 2 – 2  mbele ya Arsenal siku ya Jumatano.


”Kuna baadhi ya wachezaji wana tabia zao maalumu,” amesema Mourinho akiwa anakabiliwa na kibarua kingine dhidi ya Fulham kwenye dimba la  Old Trafford siku ya Jumamosi.


”Wacha nikupe mfano, Ander Herrera na Marcus Rashford hawa ni wachezaji wenye aina ya tabia ya pekeyao ambapo hata kama mchezo hauitaji nguvu utaona shauku yao, matamanio yao na kujitolea kwao muda wote.”


”Nilazima tujaribu kwendana na mchezo, nafahamu ni siku mbili tu nafahamu siyo rahisi. Lakini hakuna sababu, nilikuwa hapa wiki chache zilizopita nik... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More