Mange Adai Ali Kiba Atapotea Kimuziki Bila Bifu na Diamond - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mange Adai Ali Kiba Atapotea Kimuziki Bila Bifu na Diamond

Mwanaharakati wa mambo ya siasa kwenye mitandao ya kijamii Mange Kimambi amefunguka na kudai Bifu linaloendelea kati ya Diamond Platnumz na Ali Kiba linamfaidisha zaidi Kiba.


Sakata hilo limekuja baada ya msanii Diamond kutaka kumaliza Bifu lake na Ali Kiba Siku ya Jana Baada ya kumualika kushiriki katika tamasha lake la Wasafi Festival.


Mange amepima uzito ishu hiyo na kusema kuwa Ali Kiba Hatakiwi kupatana na Diamond kwani year ndio anafaidishwa na Bifu hilo Babu bila Bifu hilo ana hatihati ya kupotea kimuziki.Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mange Kimambi ameandika:Sio kama nachochea ugomvi ila nimeongea fact tu. Tujikumbushe Ray na Kanumba. Mnalikumba beef lao? Siku Kanumba alipokosekana na lile bifu lilipokosekana Ray si alishuka na umaarufu ukapungua vibaya mno mpaka akapotea. .

So lile beef ndio lilikuwa linaibeba career ya Ray. Kwenye situation kama hizi yule ambae ndio msanii mkubwa zaidi huwa ana gain kiki kwenye beef ila anae gain sana ni yule mwingine. Beef la Ray na ... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More