Mange Aibu Mazito Kuhusu Ugomvi wa Sheta na Diamond. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mange Aibu Mazito Kuhusu Ugomvi wa Sheta na Diamond.

Mwanaharakati katika mitandao ya kijamii mange kimambi amefunguka mazito baada ya moja ya shabiki kuuliza kwanini kumekuwa hakuna amelewano kati ya msani Diamond platinumz na sheta wakati hapo awali wawili hao walikuwa wakifanya kazi pamoja.


Mange kimambi alieongea kwa kusema kuwa kumekuwa na mgogoro kati ya wasanii hao wawili kutoka na muingiliana wa kifamilia kati ya shetta na diamond na ndipo walipokosana kabisa.


Katika kurasa hizo shabiki aliuliza “hivi shetta na di hawaii kwa sababu gani? kuna nini nyuma ya pazia hapa?    na ndipo Mange Kimambi alipojibu kwa kujiamini na jibu lake ” shetta alikula bi sandra n dai akaamua kulipiza kwa kula mamaqayla,  akampiga picha na kumtua shetta ..aki leo niko kiumbea umbea jamani goodnight “


Mange amekuwa moja ya watu waliopo katika mitandao wanaojua na kutoa siri nyingi sanaza wasanii  na viongozi pia kias kwamba wengi wamekuwa wakigombana baada ya siri hizo kuvuja.


The post Mange Aibu Mazito Kuhusu Ugomvi wa Sheta na Diamond. appe... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More