Mange Alipua Bomu, Asema Wastara na Steve Nyerere Waliwahi Kuwa na Mahusiano Hapo Nyuma. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mange Alipua Bomu, Asema Wastara na Steve Nyerere Waliwahi Kuwa na Mahusiano Hapo Nyuma.

Mwanaharakati Mange Kimambi amefunguka na kusema kuwa mwanamuziki na muigizaji wastara juma aliwahi kuwa na mhausiano ya kimapenzi hapo nyuma na msanii mwenzake seve nyerere lakini hakuna aliyewahi kujua na kwa sababu ilikuwa ni siri.


Wawili hao ambao wamenza kutukanana katika mitandao ya kijamii na kutishiana kutoleana siri mpaka za ndani imekuwa ni kama swala ambalo hakuna aliyetegemea kuwa lingeweza kufikia lilipofikia sasa.


Akiandika waraka mrefu wenye matuzi na kebehi nyingi mange kimambi amesema kuwa Steve Nyerere aliwahi kuwa na mahsuaino na mwanadada huyo lakini wastara  anajifanya kuwa ni mgonjwa wakati anaweza kutoka kimapenzi na wanaume tofautu tofauti ilhali hajali ugonjwa alaiona.


Wastara ambae ahap awali aliptajiwa mambo ya steve nyerere alimjibu kuwa mambo ya steve nyerere ni ya zamani kabla hata ahajapata ajali , akimaanisha kuwa ni kipindi ambacho alikuwa hajaolewa lakini mange alikanusha  na kusema kuwa ni kipindi hiki cha ugonjwa wake ndio alikuwa katika mahusiano ... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More