Mange Amtaka Ruby Apunguze Kiburi Ili Afanikiwe - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mange Amtaka Ruby Apunguze Kiburi Ili Afanikiwe

Mwanaharakati wa mambo ya siasa mtandaoni Mange Kimambi ameibuka na kumchana live mwanamuziki wa Bongo fleva Ruby na kumtaka aache kiburi.


Lwa muda mrefu kumekuwa na taarifa kwamba Ruby amekuwa hana maelewano mazuri na watu anaofanya nao kazi na kupelekea kuzidi kushuka kimuziki.


Mange amempa makavu Ruby na kumtaka apunguze kiburi kama anataka kufanikiwa kwani watu wengi wanashindwa kufanya naye kazi kutokana na jeuri na kiburi.


Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mange amemuandikia Ruby ujumbe huu:


View this post on Instagram@iamrubyafrica mdogo wangu you are super talented ila ushauri punguza jeuri kidogo basi maana naambiwa we ni mkorofiiii hata dadako sikufikiiii kwa ukorofi na ujeuri…..Acha basi basi mdogo wangu maana talent yako ni kubwa mnooo ulipo sasa ni chini sana compared na talent yako. Embu Ona hii nyimbo ni nzuri balaaaaa, angetoka nayo Vanessa Mdee au Nandi etc pangechimbikaaaa, ila wewe watu wako kimya hawaipromote… We mwenyewe ... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More