Mange Kimambi Aibuka Kidedea Tuzo za beffta - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mange Kimambi Aibuka Kidedea Tuzo za beffta

Waandaaji wa tuzo za beffta wametoa matokea ya tuzo mbalimbali, ambapo katika kipengele cha Most Inspirational African Female  Politics ameshinda mwanadada Mange Kimambi mtanzania anaeishi Marekani.


Katika ukurasa wake wa instagram, Mange kimambi amendika yafuatayo baada ya kutangazwa “‘i’m honoured  to every person who voted for me , thank you .”


Tuzo hiyo iliyolewa kwa mange kimambi iliangazwa katika mitandaoa na kuwataka watu  wananchi kumpigia kura mshiriki wanaeona anafaa kupewa tuzo hiyo.


 


The post Mange Kimambi Aibuka Kidedea Tuzo za beffta appeared first on Ghafla!Tanzania.


Source: Ghafla TZRead More