Mange Kimambi Atoboa Siri ya Ndoa ya Esma na Petit. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mange Kimambi Atoboa Siri ya Ndoa ya Esma na Petit.

Bado mambo yakiwa yanachemka katika mitandao ya kijamii kuhusu ugomvi unaondelea  huku kila mmoja akivutia upande wale mwanadada Mange Kimambi amevijusha siri kuwa mume wa Esma Platinmz ambae amekuwa akijulikana kama Petit kwa sasa ameachana na mwanadada huyo na yuko na mwanamke mwingine.


Katika ukurasa wake wa instagram, Mange Kimambi ameweka voice notes zinazothibitisha  uhusiano wa petit na mwanamke mwingine wa kiarabu anaesmeka akuwa ana makazi yake huku nchini Dubai.


Siri hizo zinakuja kuvuja baada ya majibizano ya muda mrefu kati ya Mange kimambi na sa kuhusiana na mahusiano mabaya yaliyopoa sasa akti ya familia hiyo na mwanadada Hamisa Mobeto hasa baada ya kumsema kuwa Hamisa amekuwa akijihusisha na mambo ya kishirikia kumloga baba wa watoto wake.


Mange kimambi anasema kuwa mwanamke huyo kwa sasa ni mjamzito na hata swala la kutokuwepo kwa petit man tanzania kuwepo Dubai ni kwa sababu anaishi huko kwa sasana mwanamke huyo ni mjamzito.


 


The post Mange Kimambi Atoboa Siri ya N... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More