MANULA NA KAPOMBE WAACHWA TENA TAIFA STARS KIKOSI CHA KUIVAA SUDAN JUMAPILI DAR - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MANULA NA KAPOMBE WAACHWA TENA TAIFA STARS KIKOSI CHA KUIVAA SUDAN JUMAPILI DAR

Na Saada Salim, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Etienne Ndayiragije ameita wachezaji 25 kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) mwakani nchini Cameroom dhidi ya Sudan utakaofanyika Jumapili wiki hii mjini Dar es Salaam.
Lakini katika kikosi hicho, Ndayiragijje ameendelea kutomjumuisha kipa bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara na kipa wa kwanza wa muda mrefu wa Taifa Stars, Aishi Salum Manula japo yuko fiti kwa sasa na ameidakia klabu yake, Simba SC mechi zote tatu zilizopita.
Awali kabisa kwenye mchezo wa Raundi ya kwanza ya kufuzu CHAN dhidi ya Kenya, Ndayiragijje alimuacha Manula kwa sababu za kuwa majeruhi, lakini kipa huyo alirejea mwanzoni tu mwa msimu, Agosti na ameendelea kudaka hadi Ijumaa iliyopita, SImba ikishinda 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar. 

Aidha, Ndayiragijje aliyeisaidia Tanzania kuifuzu hatua ya makundi ya kuwania tiketi ya fainali za Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar baada ya kuitoa Burundi kwa pen... Continue reading ->





Source: Bin ZuberyRead More