Maofisa JWTZ, Polisi mbaroni kwa udanganyifu - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Maofisa JWTZ, Polisi mbaroni kwa udanganyifu

Watu watatu mkoani Tabora, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo kwa tuhuma za kujifanya watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama, pamoja na kuwatapeli wananchi. Kamanda wa Polisi mkoani Tabora, Emmanuel Nley amesema watuhumiwa hao wamekuwa wakivaa sare za Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ), na Polisi, wakijifanya ni watumishi na hivyo kutumia mwanya huo kuwatapeli


Source: Kwanza TVRead More