MAOFISA MAGEREZA 20 KWENDA NCHINI SHELISHELI KUTEKELEZA JUKUMU LA UREKEBISHAJI WA WAHALIFU - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAOFISA MAGEREZA 20 KWENDA NCHINI SHELISHELI KUTEKELEZA JUKUMU LA UREKEBISHAJI WA WAHALIFU

 Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike akiagana na Mkaguzi wa Magereza Godfrey Mpagike(kulia) ambaye ni miongoni mwa maofisa na askari 20 wa Jeshi la Magereza ambao wanatarajia kuondoka Agosti 16, 2018 kuelekea nchini Shelisheli kutekeleza jukumu la Urekebishaji wa wahalifu  kwa mkataba wa miaka miwili. Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Jeshi la Magereza mara baada ya kuagananao leo Agosti 10, 2018 jijini Dar es Salaam. Maafisa hao wanatarajia kuondoka kuelekea nchini Shelisheli kutekeleza jukumu la Urekebishaji wa wahalifu nchini humo kwa mkataba wa miaka miwili. Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Jeshi la Magereza(walioketi) na askari wa Jeshi hilo vyeo mbalimbali(waliosimama mstari wa nyuma) mara baada ya kuagananao leo Agosti 10, 2018 jijini Dar es Salaam. Jumla ya maafisa na askari 20 wa Jeshi la Magereza wanatarajia kuondoka kuelekea nchi... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More