MAONESHO YA BIASHARA NA UTALII YAGIKIA TAMATI JIJINI TANGA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAONESHO YA BIASHARA NA UTALII YAGIKIA TAMATI JIJINI TANGA

  Naibu waziri wa mawasiliano na utalii Costantine Kanyasu akimsikiliza mmoja wa wakinamama wajasiriamali akitoa maelezo ya biashara yake  katika Maonesho ya Biashara na Utalii  yaliyofungwa April 8 2019 katika viwanja wa Mwahako jijini Tanga Naibu waziri wa mawasiliano na utalii Costantine Kanyasu akisaini kitabu cha wageni katika banda la wanawake wajasiriamali katika Maonesho ya Biashara na Utalii katika viwanja wa Mwahako jijini Tanga.  Naibu waziri wa mawasiliano na utalii Costantine Kanyasu katika picha ya pamoja na watumishi katika banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika viwanja wa Mwahako jijini Tanga. Meneja wa TRA mkoa wa Tanga,Specioza Owure akitoa maelezo kwenye banda la mamlaka hiyo kwa naibu waziri wa maliasili na utalii Costantine Kanyasu wakati alipokuwa akitembelea, kabla ya kufunga maonesho hayo katika viwanja wa Mwahako jijini Tanga. Afisa uhusiano wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingiraTanga UWASA Dora Killo akitoa maelezo  kwa naibu wazir... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More