MAONESHO YA NANENANE KITAIFA KUFANYIKA MKOANI SIMIYU KWA MIAKA MITATU MFULULIZO - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA KUFANYIKA MKOANI SIMIYU KWA MIAKA MITATU MFULULIZO

Waziri wa kilimo Mhe Dkt Charles Tizeba akipongeza juhudi zilizofanywa na serikali na wadau wa kilimo katiika kufanikisha maadhimisho ya maonesho ya kilimo na sherehe za wakulima Nanenane Kitaifa yaliyofanyika kanda ya Ziwa Mashariki katika viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu, Jana Tarehe 8 Agosti 2018. (Picha Zote Na Mathias Canal-Wizara ya Kilimo)Waziri wa kilimo Mhe Dkt Charles Tizeba akizungumza na mamia ya wananchi waliojitokeza kwenye maadhimisho ya maonesho ya kilimo na sherehe za wakulima Nanenane Kitaifa yaliyofanyika kanda ya Ziwa Mashariki katika viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu wakati akitoa taarifa ya maonesho ya Nanenane mbele ya Mgeni rasmi ambaye ni Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Benjamin Mkapa, Jana Tarehe 8 Agosti 2018.Waziri wa kilimo Mhe Dkt Charles Tizeba (Kulia) akifurahi jambo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt Bashiru Ally wakati wa kilele cha maonesho ya kilimo na sherehe za wakulima Nanenane Kitaifa yaliyofanyika kanda ya Ziwa ... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More