maonesho ya tatu ya bidhaa za viwanda vya Tanzania kufunguliwa kesho jijini Dar - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

maonesho ya tatu ya bidhaa za viwanda vya Tanzania kufunguliwa kesho jijini Dar

Waziri wa Viwanda ,Biashara na Uwekezaji,Joseph Kakunda (watatu kushoto) akiwa ameambatana na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara,Novatus Rutageruka (katikati)Mwakilishi Mkaazi wa UNIDO nchini, Bw.Stephen Bainous Kargbo akitembelea maonesho ya tatu ya bidhaa za viwanda vya hapa nchini, maonesho hayo yatafunguliwa rasmi Desemba 6 kwaka huu.Waziri wa Viwanda biashara na uwekezaji Joseph Kakunda akiangalia bizaa zinazotengenezwa na kiwanda cha Darsh,(katika) Mwakilishi Mkaazi wa UNIDO nchini, Bw.Stephen Bainous Kargbo(kulia) Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo Biashara,Edwin Rutageruka.Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mh Joseph Kakunda aliyeambatana na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara,Edwin Rutageruka akisalimiana na Mkuu wa Kitengo cha Mawasilino – NIDA Bi. Rose Joseph, wakati alipotembelea banda la Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa ndani ya maonyesho Tatu ya Bidhaa za Viwanda.Baadhi ya Wananchi waliofika kwenye banda la NIDA ndani ya maonyesho y... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More