MAONI: Hongereni Simba, miaka 10 sio mchezo sasa ongezeni thamani Simba Day - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAONI: Hongereni Simba, miaka 10 sio mchezo sasa ongezeni thamani Simba Day

Ndio maana tunasema Tamasha la Simba Day bado linahitajia kuboreshwa zaidi ya inavyoendeshwa sasa, licha ya kwamba Wanasimba wanalifurahia kwa vile wanapata burudani na kutambulishwa kikosi na hata uzi mpya wa msimu.


Source: MwanaspotiRead More