MAONYESHO YA TATU YA BIDHAA ZA VIWANDA TANZANIA KUFUNGULIWA DEC 6, 2018 - DAR - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAONYESHO YA TATU YA BIDHAA ZA VIWANDA TANZANIA KUFUNGULIWA DEC 6, 2018 - DAR

Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji, Joseph Kakunda (watatu kushoto) akiwa ameambatana na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara, Novatus Rutageruka (katikati) Mwakilishi Mkaazi wa UNIDO nchini, Bw.Stephen Bainous Kargbo akitembelea maonesho ya tatu ya bidhaa za viwanda vya hapa nchini Tanzania. Maonesho hayo yatafunguliwa rasmi Desemba 6 Mwaka huu katika viwanja vya Mwalimu Nyerere-Sabasaba jijini Dar es Salaam.Waziri wa Viwanda biashara na uwekezaji Joseph Kakunda akiangalia bizaa zinazotengenezwa na kiwanda cha Darsh,(katika) Mwakilishi Mkaazi wa UNIDO nchini, Bw. Stephen Bainous Kargbo(kulia) Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo Biashara,Edwin Rutageruka.Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mh Joseph Kakunda aliyeambatana na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara,Edwin Rutageruka akisalimiana na Mkuu wa Kitengo cha Mawasilino – NIDA Bi. Rose Joseph, wakati alipotembelea banda la Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa ndani ya maonyesho Tatu ya Bidhaa za V... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More