Mapato ATCL yaongezeka - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mapato ATCL yaongezeka

MAPATO ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), yameongezeka kutoka Sh. 11.7 Bilioni mwaka 2015/16 hadi Sh. 45.5mwaka 2018/19. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea). Hayo yamesemwa Dk. Phillip Mpango leo tarehe 13 Juni 2019, wakati akielezea mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano katika kipindi cha miaka mitatu, kuanzia mwaka 2016/17 mpaka 2018/19. Dk. Mpango amesema, ...


Source: MwanahalisiRead More