Mapenzi yapo, Napenda pesa :-Rosa Ree - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mapenzi yapo, Napenda pesa :-Rosa Ree

Mwanadada mwenye sifa za kipekee huku watu wakimsma sana kuhusu swala lake na kutokuwa na mahusiano amefunguka na kuelezea kwa nini kwa sasa hataki sana kujikita katika mahusinao kama mashabiki zake wanavyomuhoji huku wakitaka kuweka mahusinao yake hadharani.


Rosa ree anasema kuwa kitendo cha yeye kutokuwa katika mahusinao haimaanishi kuwa hakuna wanaomfuta kwa ajili ya kuwa nae katika mahusiano lakini kwake anaona mud wake bado kwa sababu anaamini kuwa yeye bado mdogo sana.


mapenzi yapo, napenda familia yangu, nampenda mwenyezi mungu na pia napenda sana pesamimi mdogo sana , am very young , yaani sio kwamba hawapo wanaotamani kuwa na rosa ree hapana lakini tu  hatuendani.


Mara nyingi mwanadada huyo amekuwa akisisitiza kuwa watu wasiomuenoa kama yuko tofauti kwa sababu ya swala la mapenzi tu kwa sababu hata yeye ana moyo wa kupenda na pia anaogopa kuumizwa.


The post Mapenzi yapo, Napenda pesa :-Rosa Ree appeared first on Ghafla! Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More